Minimum Wage – Tanzania
- Valid on Juni 2026
Tanzania
- Bara - Huduma za Mawasiliano
- Bara - Huduma za Nishati
- Bara - Uchimabaji Migodi
- Bara - Huduma za shule za kibinafsi (Shule za Chekechea, Msingi na Upili)
- Bara - Huduma za Usalama wa Kibinafsi
- Bara - Huduma za Uchukuzi
- Zanzibar
- Mainland - Industrial and other sectors
- Mainland - Trade and finance sector
- Mainland - Hotel and Hospitality Services
- Mainland - Domestic Work or Services
- Mainland - Health Sector
- Mainland - Construction Sector
- Mainland - Agricultural Services and Fisheries
Working hours
Mshahara kwa mwezi – Kiwango cha kila mwezi uhesabiwa kwa msingi wa siku 26 za kufanya kazi kwa mwezi au saa 234 kwa mwezi.
Mshahara kwa siku – Kiwango cha kila siku uhesabiwa kwa misingi ya saa 9 za kufanya kazi kwa siku.
Mshahara kwa wiki – Kiwango cha kila wiki uhesabiwa kwa misingi ya saa 45 kwa wiki au siku 6 za kufanya kazi kwa wiki.
Mshahara baada ya wiki mbili– Kiwango cha kila wiki mbili uhesabiwa kwa misingi ya saa 12 za kufanya kazi.
Definitions
Zanzibar: Saa za kazi ni saa 42 kila wiki - siku 6 za kazi katika wiki na saa 7 za kazi kila siku. Hata hivyo saa zinaweza kuongezewa hadi 45 baada ya makubaliano. Katika wajibu wa zamu muda unaweza kuongezwa hadi saa 48 kila wiki.
Tarehe ya masahihisho yatakayofuata katika viwango vya kima cha chini cha mishahara haitangazwi na Serikali.Hata hivyo, mishahara ya sasa inatarajiwa kudumu kwa miaka mitatu ifuatayo (hadi 2016).
Source
AGIZO LA TAASISI ZA KAZI (MSHAHARA WA CHINI KWA SEKTA BINAFSI), 2025
More information is available at
Disclaimer
The Minimum Wage tool is powered by WageIndicator’s data. Although our datasets are cleaned, scientifically checked and benchmarked, no responsibility can be taken for 100% accuracy. The information and data displayed are not necessarily comprehensive, complete, accurate or up to date at all times. Using the data from the Minimum Wage tool is at the user’s own risk.