Sisi ni Nani

Timu Yetu ya Kimataifa

Kutana na timu nzima
arrow
Paulien Osse
The Netherlands
Paulien Osse
Co-Founder and Lead Living Wages
Daniela Ceccon
Italy
Daniela Ceccon
Lead Data
Fiona Dragstra
The Netherlands
Fiona Dragstra
Director
Gunjan Pandya
India
Gunjan Pandya
IT Specialist and Global Webmaster
Abhishek Patil
India
Abhishek Patil
Lead People Operations
Hala El Chamaa
Lebanon
Hala El Chamaa
Lead Performance & Analytics
Nii Ashia Amanquarnor
Ghana
Nii Ashia Amanquarnor
Data Scientist
Huub Bouma
The Netherlands
Huub Bouma
IT Specialist
Karen Rutter
South Africa
Karen Rutter
Data & Communications Specialist - Anglopohne Africa

Gundua zaidi kuhusu sisi ni nani

Jifunze zaidi kuhusu WageIndicator Foundation, dhamira yetu, watu wetu, na kazi tunayofanya ili kufanya taarifa za mshahara na soko la ajira zipatikane kote ulimwenguni.
data icon
Watumiaji wetu wa taarifa na washirika
Kampuni mbalimbali (kubwa na ndogo) duniani hutumia taarifa zetu. Tunashirikiana na makundi mbalimbali kwa nia ya kufanya taarifa zetu kuwa na mantiki.
countries icon
Historia Yetu
Hapo zamani shirika letu lilianzishwa na wanawake wawili: mwanahabari Paulien Osse na Prof. Kea Tijdens. Safari ilianza mwaka 1999 na dhamira ya: kufanya taarifa za mishahara zipatikane kwa watu wote kulingana na uzoefu wao, elimu na uwezo.
world icon
Bodi yetu ya wasimamizi
Wafahamu wanachama wa Bodi ya Wasimamizi ya WageIndicator Foundation na ujifunze zaidi kuhusu watu walio nyuma ya shirika letu.
Taja ukurasa huu: © WageIndicator 2026  –  Tanzania  –  Sisi ni Nani
FacebookXLinkedInEmail