Beyoncé Knowles

Beyoncé Knowles

Mwimbaji, Born 1981 Marekani
Money
Kila mwaka
TSh 377,400,176,166.00
Money
Kila mwezi
TSh 31,450,014,680.50
Money
Kila wiki
TSh 7,257,695,695.50
Money
Kila siku
TSh 1,451,539,139.10
Personal information Beyoncé Knowles
From the moment you arrived on this page, Beyoncé Knowles has earned:

Beyoncé Giselle Knowles, anayefahamika zaidi kwa jina moja Beyoncé pronounced /biˈjɒn.seɪ/ ni mwimbaji wa R & B, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi, mwigizaji na mwanamitindo kutoka Marekani. Alizaliwa na kukulia Houston, Texas na alihudhuria shule mbalimbali zinazofunza sanaa. Pia alianza kushiriki katika mashindano ya kuimba na kucheza ngoma akiwa mtoto. Knowles alikuja kujulikana katika mwisho wa miaka ya 1990 kama mwimbaji kiongozi wa kikundi cha wasichana cha R & B, Destiny's Child. Kulingana na Sony, mauzo ya rekodi za Knowles, yakiunganishwa na yale ya kikundi cha Destiny's Child, yamezidi milioni 100.

Wikipedia page about Beyoncé Knowles External link
Vyanzo
Taja ukurasa huu: © WageIndicator 2026  –  Tanzania  –  Salary, Income, Net Worth: {vip}
FacebookXLinkedInEmail