[{"data":1,"prerenderedAt":-1},["ShallowReactive",2],{"page:en-tz\u002Fwork-in-tanzania\u002Fcollective-bargaining-agreement\u002Fmkataba-wa-hali-bom-ya-kazi-hifadhi-za-taifa-tanzania-tanapa-na-chodawu---2014":3},{"id":4,"slug":5,"title":6,"short_title":7,"intro_text":8,"meta_description":8,"seo_title":8,"path":9,"content_type":10,"locale":11,"go_live_at":7,"first_published_at":12,"page_created_at":13,"published_at":12,"edit_url":14,"breadcrumbs":15,"seo":23,"data":31,"children":101,"content_type_view":102,"extra_breadcrumbs":103,"body":105,"body_blocks":116,"related_pages":120},608,"collective-bargaining-agreement","Collective Bargaining Agreement",null,"","\u002Fen-tz\u002Fwork-in-tanzania\u002Fcollective-bargaining-agreement","collective_agreements.collectiveagreementoverview","en_TZ","2025-07-27T08:21:24.461051+00:00","2026-04-02T11:17:39.121481+00:00","\u002Fcms\u002Fpages\u002F608\u002Fedit\u002F",[16,19,22],{"title":17,"slug":18},"Tanzania","en-tz",{"title":20,"slug":21},"Work in Tanzania","work-in-tanzania",{"title":6,"slug":5},{"title":6,"description":8,"image":24,"canonical":25,"robots":26,"og_type":27,"twitter_card":28,"locale":18,"created_at":29,"last_modified_at":30},"https:\u002F\u002Fwageindicator.org\u002Fmedia\u002Fimages\u002FSocial_media_preview_image_-_2025.2e16d0ba.fill-1200x630.png","https:\u002F\u002Fwageindicator.org\u002Fen-tz\u002Fwork-in-tanzania\u002Fcollective-bargaining-agreement\u002F","index, follow","website","summary_large_image","2025-07-27T10:21:24.461051+02:00","2026-04-02T13:17:39.220874+02:00",{"cba":32,"clauses":43,"details":99,"translations":100},{"id":33,"uid":34,"url":35,"name":36,"locale":11,"override_title":8,"title":37,"browser_title":38,"browser_description":39,"text":40},"mkataba-wa-hali-bom-ya-kazi-hifadhi-za-taifa-tanzania-tanapa-na-chodawu---2014","fd7caf06-debe-11e5-b162-001e0bbf9952","https:\u002F\u002Fcobra.wageindicator.org\u002Fcountries\u002Ftanzania\u002Fmkataba-wa-hali-bom-ya-kazi-hifadhi-za-taifa-tanzania-tanapa-na-chodawu---2014\u002Fmkataba-wa-hali-bom-ya-kazi-hifadhi-za-taifa-tanzania-tanapa-na-chodawu---2014\u002F","Mkataba wa Hali Bom ya Kazi Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na CHODAWU - 2014","TZA TANAPA - 2014","Tanzania - TZA TANAPA - 2014","TZA TANAPA - 2014 - Hospitality, catering, tourism",{"name":41,"data":42},"CHODAWU vs TANAPA.html","\n              \u003C!--?xml version=\"1.0\" encoding=\"UTF-8\"?-->\n\n\n\n  \u003Cmeta http-equiv=\"content-type\" content=\"text\u002Fhtml; charset=UTF-8\">\n  \u003Ctitle>New2\u003C\u002Ftitle>\n  \u003Cmeta name=\"generator\" content=\"Amaya, see http:\u002F\u002Fwww.w3.org\u002FAmaya\u002F\">\n\n\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch1>Mkataba wa Hali Bom ya Kazi Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na\nCHODAWU\u003C\u002Fh1>\n\n\u003Cp>MKATABA WA HALI BORA YA KAZI BAINA YA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA)\nAMBAYE KWA MADHUMUNI YA MAKUBALIANO HAYA ATAJULIKANA KAMA MWAJIRI KWA UPANDE\nMMOJA NA CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA HIFADHI, HOTELI, MAJUMBANI, HUDUMA ZA JAMII\nNA USHAURI (CHODAWU) AMBAYE KWA MADHUMUNI YA MAKUBALIANO HAYA ATAJULIKANA KAMA\nCHAMA KWA UPANDE WA PILI\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>KWA KUWA pande zote zimekubaliana kuwa na uhusiano baina yao, uhusiano huo\nutatoa haki na majukumu kwa kila upande,\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>NA\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>KWA KUWA pande zote zinatambua misingi ya uhuru wa kujumuika na haki ya\nkushiriki katika majadiliano ya pamoja,\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>NA\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>KWA KUWA kila upande unatambua haja ya kuwepo mfumo fanisi utakaohakikisha\nkuwepo kwa uhusiano wa haki katika ajira na haja ya kutatua migogoro baina yao\nkwa amani kwa njia ya mashauriano na majadiliano,\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>NA\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>KWA KUWA kila upande unatambua haja ya kuwa na uhusiano mzuri na amani\nmahali pa kazi,\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>HIVYO BASI pande zote zinakubaliana kama ifuatavyo:-\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>1.0 MUDA WA MKATABA\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>1.1Muda wa mkataba huu utakuwa miaka mitatu toka tarehe ya kusainiwa baada\nya kupata ridhaa ya Msajili wa Hazina. Mkataba huu unaweza kufanyiwa marejeo\n(review) pale ambapo kutakuwa na haja ya kufanya hivyo au miezi sita kabla ya\nmuda wa mkataba kuisha.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>1.2 Endapo muda wa Mkataba utaisha na ule uliorejewa haujakamilika, mkataba\nwa awali utaendelea kutumika mpaka pale ule uliorejewa utakapokamilika.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>2.0 AJIRA\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-WAGES_determined\">\u003Cp>2.1 Taratibu za ajira zitazingatia Sheria za nchi, Kanuni za Utumishi, barua\nza ajira na nyaraka mbalimbali zitakazokuwa zikitolewa mara kwa mara na Bodi ya\nWadhamini au Serikali.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>2.2 Nafasi za kazi zinapotokea na kutangazwa kwenye vyombo vya habari,\nnakala ya tangazo hilo ipelekwe kwa wakuu wote wa Hifadhi kwa njia iliyo rahisi\nikiwa ni pamoja na barua pepe na nukushi na kuwekwa kwenye mbao za matangazo\nsehemu za kazi.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>3.0 KUACHISHWA KAZI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Mtumishi anaweza kuachishwa kazi na mwajiri kwa kuzingatia Sheria za nchi,\nKanuni na Taratibu zilizopo.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>4.0 SAA ZA KAZI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight focus\" id=\"clause-OVERTIME_trigger\">\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-SUNDAY_trigger\">\u003Cp>4.1 Saa za kazi, saa za ziada (Overtime), siku za Jumamosi, Jumapili na siku\nza sikukuu (Public Holidays) zitatambulika kwa mujibu wa Sheria za nchi.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Cp>4.2 Malipo ya saa za ziada na siku za Jumamosi, Jumapili na siku za sikukuu\nyatalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali vya \"Extra Duty Allowance\"\nambavyo vitaboreshwa na kuwa shilingi 10,000\u002F= kwa \"Junior Staff\" na shilingi\n15,000\u002F= kwa \"Senior Staff\" katika ngazi ya Principal kwa siku. Hata hivyo\nviongozi kuanzia ngazi ya mshahara ya G.10 na kuendelea hawastahili malipo\nhayo.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>4.3 Malipo ya saa za ziada yatafanyika kunapokuwepo kazi inayotaka\nkukamilishwa nje ya wakati wa kazi. Idhini ya kazi ya ziada lazima iwe kwa\nmaandishi kutoka kwa kiongozi\u002F mkuu wa Hifadhi wa kazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>4.4 Viongozi wawaruhusu watumishi kupumzika kila inapowezekana badala ya\nkulipwa kwa kufanya kazi saa za ziada.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>5.0 KUPUNGUZWA KAZI (REDUNDANCY)\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Mtumishi atakayepunguzwa kazi kwa sababu zaidi ya kuyumba kwa uchumi\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>na mbali na makosa ya kinidhamu atastahili:-\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>5.1 Kulipwa mishahara kwa viwango vifuatavyo;\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>i. Miaka mitano (5) kurudi chini watalipwa mishahara ya miezi 24.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>ii. Miaka zaidi ya mitano (5) hadi miaka kumi (10) watalipwa mishahara ya\nmiezi 36.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>iii. Miaka zaidi ya kumi (10) watalipwa mishahara ya miezi 48.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>5.2 Kulipwa Mkono wa Heri (Golden Handshake) kiasi cha shilingi milioni kumi\nna tano (15,000,000\u002F =).\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>5.3 Usafirishiwa familia na mizigo yake hadi nyumbani kwake kiasi cha tani 2\nkwa ngazi za mishahara TAN 01-TAN 05 na G1 - G5 na tani 4 kwa ngazi za G6 —\nG13.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>6.0 VIFO NA MAZISHI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-funeralpay\">\u003Cp>6.1 Mtumishi atakapofariki au kufiwa gharama za mazishi zitakuwa kama\nzilivyoainishwa katika Kanuni za Utumishi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>6.2 Mtumishi anapofariki au kufiwa atasindikizwa na watumishi wasiopungua\nwatano.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>6.3 Rambirambi italipwa kwa mujibu wa waraka uliopo na kwa jinsi\nutakavyoboreshwa mara kwa mara.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>7.0 MPANGO WA MAFUNZO (TRAINING PROGRAMME)\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-trainingprogrammes\">\u003Cp>Mafunzo yatashughulikiwa kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi na Sera ya\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>Mafunzo na kwa kuzingatia mahitaji na vipaumbele vya Shirika.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>8.0 KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>8.1 Mishahara ya watumishi wa Shirika itaendelea kuboreshwa kulingana na\nhali ya mapato ya Shirika itakavyokua.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>Mkataba wa Hali Bora ya Kazi Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na\nCHODAWU \u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>8.2 Kima cha chini cha mshahara kinacholipwa wakati wa kusainiwa mkataba huu\nkitaendelea kulipwa na kuboreshwa kwa kadri hali ya kifedha ya Mwajiri\nitakavyoruhusu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>9.0 MAFAO YA KUSTAAFU\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>9.1. Mwajiri atawajibika kuandaa mafao ya mtumishi anayekaribia ia kustaafu\nmiezi sita kabla ya kustaafu na kumpa taarifa mtumishi husika kwa maandishi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>9.2. Mtumishi anao wajibu wa kumkumbusha mwajiri kwa maandishi miezi sita\nkabla ya tarehe ya kustaafu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>9.3. Mtumishi atakayestaafu atastahili kulipwa Mkono wa Heri (Golden\nHandshake) kiasi cha shilingi milioni kumi (10,000,000\u002F=) kwa atakayestaafu kwa\nhiari (kuanzia miaka 55) na shilingi milioni kumi na tano (15,000,000\u002F=) kwa\natakayestaafu kwa mujibu wa Sheria.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>9.4. Mtumishi atakayestaafu kwa mujibu wa Sheria au kwa hiari au kufariki\nkabla ya kufikisha umri wa kustaafu atalipwa mishahara ya miezi 48 kama mafao\nya kustaafu kutoka kwenye mfuko maalum.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>9.5. Mtumishi atakayestaafu kwa ugonjwa atastahili kulipwa mafao\nyaliyoainishwa kwenye kifungu Na. 9.4 na Mkono wa Heri kiasi cha shilingi\nmilioni kumi (10,000,000\u002F =) pamoja na stahili nyingine.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>10.0 LIKIZO YA MWAKA (ANNUAL LEAVE)\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-PAIDLEAV_trigger\">\u003Cp>10.1 Likizo ya mwaka ya mtumishi itakuwa ni siku 28 kwa mujibu wa sheria za\najira na mahusiano kazini Na. 6 1. ya mwaka 2004.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>11.0 MALIPO YA LIKIZO\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>11.1 Mtumishi na familia yake (Watoto wanne na mke\u002Fmume) atastahili malipo\nya nauli ya likizo ya kila mwaka.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>11.2 Malipo ya nauli ya likizo yatamhusu mume\u002Fmke na watoto wanne bila\nkuzingatia kama mume\u002F mke anafanya kazi sehemu au taasisi nyingine. \u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>11.3 Malipo hayo ya likizo yatastahili watoto wa mtumishi wenye umri chini\nya miaka kumi na nane (18) au umri usiozidi miaka ishirini na moja (21) iwapo\nwatoto hao wanasoma shule au chuo na baada ya kupokea uthibitisho.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>12.0 LIKIZO YA UZAZI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Watumishi watastahili likizo ya Uzazi kwa mujibu wa sheria za kazi na kanuni\nza Utumishi za TANAPA.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>13.0 LIKIZO KWA AJILI YA MASOMO\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Likizo kwa ajili ya masomo zitazingatia Kanuni za Utumishi za TANAPA.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>14.0 MATIBABU\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-healthcareaccessrelatives\">\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-healthcareaccess\">\u003Cp>Mwajiri atagharamia matibabu kwa mtumishi na familia yake kwa mujibu wa\nKanuni za Utumishi.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>15.0 KUUMIA KAZINI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-disabilitypay\">\u003Cp>15.1 Mtumishi atakayeumia kazini na kupata ulemavu wa kudumu na baada ya\nkupokea uthibitisho kutoka kwa mganga wa Serikali aliye na Mamlaka hiyo\natastahili malipo ya fidia kama ifuatavyo;\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>i. Atakayepoteza viungo kama sikio, jicho, vidole TZS 5,000,000\u002F=.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>ii. Atakayepoteza mkono au mguu TZS 10,000,000\u002F=.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>iii. Atakayepooza (paralysis), kupoteza miguu yote, macho yote, au mkono na\nmguu au kupoteza uhai (familia yake italipwa)- TZS 15,000,000\u002F=.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>15.2 Familia ya mtumishi inapopatwa na ajali hifadhini (mfano kudhuriwa na\nwanyama) atastahili nusu ya malipo ya mtumishi ya kuumia au kufariki kazini.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>16.0 MALIPO NA UBORESHAJI WA TUZO NA POSHO MBALIMBALI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Tuzo na posho zinazolipwa kwa watumishi wakati wa kusainiwa mkataba huu\nzitaendelea kutumika na kuboreshwa kadri hali ya kifedha ya Shirika\nitakavyokuwa nzuri.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>17.0 SARE ZA WATUMISHI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Mwajiri atatoa jozi moja ya sare kamili kwa mwaka kwa watumishi kwa\nkuzingatia mazingira halisi ya kazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>18.0 TARATIBU ZA KUSHUGHULIKIA MIGOGORO\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Taratibu za kushughulikia migogoro sehemu za kazi zitazingatia Sheria husika\nza nchi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>19.0 MALIPO KWA WATEGEMEZI BAADA YA MTUMISHIKUFARIKI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Mtumishi anapofariki familia ya marehemu italipwa mishahara ya mtumishi ya\nmiezi mitano (5) na itaruhusiwa kukaa kwenye nyumba ya Shirika si zaidi ya\nmiezi minne au italipwa posho ya pango kwa miezi minne (4).\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>20.0 MAKAZI BORA KWA WATUMISHI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Mwajiri ataboresha vitendea kazi pamoja na makazi ya watumishi kulingana na\nhali ya kifedha itakavyoruhusu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>21.0 TUZO YA UHIFADHI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Utaratibu wa sasa wa kulipa Tuzo ya Uhifadhi (Conservation Award) kwa\nkuzingatia mshahara wa mtumishi katika Shirika uendelee kila Shirika\nlitakapofikia malengo na kupata hati safi toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa\nSerikali (CAG). Tuzo ya Uhifadhi italipwa kama mshahara wa mwezi wa kumi na\ntatu wa mtumishi katika mwaka husika wa fedha baada ya malengo ya Shirika\nkufikiwa kwa mwaka huo.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>22.0 UHAMISHO\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Uhamisho wa watumishi utashughulikiwa kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>23.0 UHAMISHO WA MUDA\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Uhamisho wa muda kwenda kituo kingine cha kazi kwa kazi maalum utazingatia\nKanuni za Utumishi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>24.0 MICHEZO, SHEREHE NA TAFRIJA\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>24.1 Mwajiri atahakikisha kuwepo kwa michezo, sherehe na tafrija mbalimbali\nmahali pa kazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>24.2 Kutakuwepo na kamati ya ustawi wa jamii kwa kila Hifadhi na Makao Makuu\nambayo itakuwa na majukumu ya kuratibu, kuandaa na kupanga mipango ya michezo,\nsherehe na tafrija kwa ajili ya watumishi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>24.3 Mwajiri atawajibika kugharamia vifaa vya michezo na burudani mbalimbali\nmahali pa kazi kulingana na bajeti itakayokuwa imeidhinishwa na Bodi ya\nWadhamini na kuhamasisha watumishi kushiriki.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>25.0 KUPANDISHWA CHEO\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>25.1Mwajiri anaweza kumpandisha cheo mtumishi kwa kuzingatia vigezo vya\nShirika kwa mujibu wa Miundo ya Utumishi (Schemes of Service), pamoja na kuwepo\nnafasi husika.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>25.2 Mwajiri atawajibika kumjulisha mtumishi sababu za kutompandisha cheo\nkwa maandishi pindi mtumishi huyo anapokuwa amekidhi vigezo vya kupandishwa\ncheo kiutendaji, kinidhamu na uzoefu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>25.3 Mtumishi atakayefaulu mafunzo ya muda mrefu atastahili kupewa nyongeza\nya mshahara wake kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>26.0 MIKOPO KWA WATUMISHI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>26.1 Mwajiri atadhamini watumishi wake kukopa kutoka Taasisi za kifedha.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>26.2 Shirika litakapotoa mikopo, mikopo hiyo haitakuwa na riba na\nitarejeshwa ndani ya muda utakaokuwa umewekwa,\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>26.3 Mshahara wa mtumishi hautaruhusiwa kukatwa kwa kiwango kitakachozidi\nrobo ya mshahara (net salary), na Shirika halitahusika kwa lolote endapo\nmtumishi ataacha kuwa mtumishi yaani kwa kuacha kazi, kifo au kustaafu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>27.0 WATUMISHI WA MUDA NA WA MKATABA MAALUMU\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Ajira zote zitazingatia Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini, Kanuni za\nUtumishi na Nyaraka (circulars) zitakazokuwa zikitolewa na Serikali au Bodi ya\nWadhamini.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>28.0 SHULE ZA AWALI (NURSERY SCHOOLS)\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-educationtuition\">\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-childcareprovision\">\u003Cp>Mwajiri atawezesha uanzishaji wa shule za awali katika kila Hifadhi pale\ninapohitajika na kwa mujibu wa Sheria na Taratibu za Serikali.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>29.0 TAFSIRI ZA NYARAKA MBALIMBALI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>29.1 Nyaraka mbalimbali zinazohusu watumishi na maslahi yao zitaandikwa kwa\nlugha za Kiswahili na Kiingereza.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>29.2 Nyaraka hizo zitawekwa bayana na mwajiri atahakikisha kuwa zinawafikia\nwatumishi mapema iwezekanavyo.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>30.0 MATUKIO YA KIJASIRI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-ONCERISE_trigger\">\u003Cp>Matukio yote ya kijasiri yatakayofanywa na mtumishi kama vile kuokoa mali za\nshirika, maisha ya binadamu na mali zao yatatambuliwa na Mwajiri sanjari na\nkupewa tuzo maalum.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>31.0 NYONGEZA YA MSHAHARA YA MWAKA (ANNUAL SALARY INCREMENT)\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-STRUCINCR_trigger\">\u003Cp>31.1Mwajiri atawajibika kutoa nyongeza ya mshahara ya mwaka kwa watumishi\nkwa kuzingatia Kanuni za Utumishi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>31.2 Mwajiri hatalazimika kumlipa nyongeza ya mshahara ya mwaka mtumishi\nambaye utendaji wake wa kazi utathibitika kuwa hauridhishi na atapaswa\nkumjulisha kwa maandishi.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>32.0 KALENDA YA MWAKA YA SHIRIKA\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Mwajiri ataandaa kalenda inayoonyesha shughuli na matukio mbalimbali\nvikiwemo vikao katika shirika kwa kipindi cha mwaka mzima (k.m. mabaraza ya\nwafanyakazi), na kuiweka wazi kwa watumishi wote.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>33.0 MIUNDO YA UTUMISHI (SCHEMES OF SERVICE)\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>Mabadiliko ya Miundo ya Utumishi yatashirikisha Chama.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>34.0 SERA YA UKIMWI (HIV \u002FAIDS CONTROL POLICY)\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-hivpolicy\">\u003Cp>Sera ya kuzuia na kudhibiti UKIMWI itazingatiwa kama ilivyopitishwa na\nMwajiri.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>35.0 KAMATI ZA AFYA NA USALAMA KAZINI\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cdiv class=\"cbaClause highlight\" id=\"clause-healthandsafetypolicy\">\u003Cp>Kutakuwa na Kamati ya Afya na Usalama Kazini katika kila Hifadhi na Makao\nMakuu ambayo itasimamia na kutekeleza Sheria ya Afya na Usalama Kazini ya mwaka\n2003.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch2>36.0 AHADI KWA SHIRIKA (COMMITMENTS)\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>36.1 Watumishi wote watatakiwa kuzingatia Sheria za nchi, Kanuni na Taratibu\nza Shirika katika kutekeleza majukumu yao ya kazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>36.2 Kila mtumishi atashiriki kikamilifu katika kulinda maliasili, wageni\n(watalii) na mali za Shirika pamoja na mapato na matumizi ya Shirika.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>36.3 Kila mtumishi anao wajibu wa kutoa mawazo endelevu ili kuendeleza fursa\nza uwekezaji ili kukuza tija.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>36.4 Mkataba huu unatambua kuwa kuna haki na wajibu katika utumishi wa\nSlairika ili malengo makuu yaani Uhifadhi, Utalii na Utumishi yaweze\nkufikiwa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>36.5 Kila mtumishi atatekeleza malengo yake ya kazi kwa mujibu wa mfumo wa\n\"OPRAS\".\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>36.6 Kila mtumishi atahakikisha kuwa ujangili unadhibitiwa, kutokomezwa na\nkuwa yeye mwenyewe hashiriki katika vitendo vya ujangili au katika njia\nitakayofanikisha uhalifu ndani ya Hifadhi. Pia mtumishi ana wajibu wa kutoa\ntaarifa kwa vyombo husika anapopata ufahamu wa mipango ya kufanya uhalifu ndani\nya Hifadhi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>36.7 Watumishi watawajibika kuvaa mavazi yenye kuzingatia maadili ya\nTaifa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>36.8Ni marufuku mtumishi kutumia madawa ya kulevya nje na ndani ya sehemu za\nkazi au aina yoyote ya kilevi sehemu za kazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch2>37.0 UKIUKAJI NA USITISHAJI WA MKATABA\u003C\u002Fh2>\n\n\u003Cp>37.1 Endapo upande wowote utakiuka masharti ya msingi ya mkataba huu, upande\nutakaoathirika utakuwa na haki ya kupeleka malalamiko hayo kwenye Tume ya\nUsuluhishi na Uamuzi (CMA).\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>37.2 Endapo upande wowote utashindwa kutimiza majukumu yake kwa mujibu wa\nmkataba huu, upande mwingine unayo haki ya kupeleka malalamiko hayo kwenye Tume\nya Usuluhishi na Uamuzi iwapo upande unaolalamikiwa hautakuwa umeanza\nkushughulikia bila sababu za msingi jambo linalolalamikiwa ndani ya siku kumi\nna tano (15) za kazi kuanzia tarehe ya kupokea taarifa ya lalamiko kutoka\nupande mwingine.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>CHODAWU\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>Kwa niaba ya mwajiri:\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>Kwa niaba ya Chama:\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>GENERAL SECRETARY\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\n\n            ",{"disabilitypay":44,"PAIDLEAV_trigger":48,"healthandsafetypolicy":52,"healthcareaccessrelatives":56,"WAGES_determined":60,"ONCERISE_trigger":64,"OVERTIME_trigger":68,"hivpolicy":72,"trainingprogrammes":76,"childcareprovision":80,"healthcareaccess":84,"STRUCINCR_trigger":86,"SUNDAY_trigger":90,"educationtuition":93,"funeralpay":95},{"bindId":45,"name":46,"text":47},"disabilitypay","15.1 Mtumishi atakayeumia kazini na kupa","15.1 Mtumishi atakayeumia kazini na kupata ulemavu wa kudumu na baada ya\nkupokea uthibitisho kutoka kwa mganga wa Serikali aliye na Mamlaka hiyo\natastahili malipo ya fidia kama ifuatavyo;\n\ni. Atakayepoteza viungo kama sikio, jicho, vidole TZS 5,000,000\u002F=.\n\nii. Atakayepoteza mkono au mguu TZS 10,000,000\u002F=.\n\niii. Atakayepooza (paralysis), kupoteza miguu yote, macho yote, au mkono na\nmguu au kupoteza uhai (familia yake italipwa)- TZS 15,000,000\u002F=.\n\n15.2 Familia ya mtumishi inapopatwa na ajali hifadhini (mfano kudhuriwa na\nwanyama) atastahili nusu ya malipo ya mtumishi ya kuumia au kufariki kazini.",{"bindId":49,"name":50,"text":51},"PAIDLEAV_trigger","10.1 Likizo ya mwaka ya mtumishi itakuwa","10.1 Likizo ya mwaka ya mtumishi itakuwa ni siku 28 kwa mujibu wa sheria za\najira na mahusiano kazini Na. 6 1. ya mwaka 2004.",{"bindId":53,"name":54,"text":55},"healthandsafetypolicy","Kutakuwa na Kamati ya Afya na Usalama Ka","Kutakuwa na Kamati ya Afya na Usalama Kazini katika kila Hifadhi na Makao\nMakuu ambayo itasimamia na kutekeleza Sheria ya Afya na Usalama Kazini ya mwaka\n2003.",{"bindId":57,"name":58,"text":59},"healthcareaccessrelatives","Mwajiri atagharamia matibabu kwa mtumish","Mwajiri atagharamia matibabu kwa mtumishi na familia yake kwa mujibu wa\nKanuni za Utumishi.",{"bindId":61,"name":62,"text":63},"WAGES_determined","2.1 Taratibu za ajira zitazingatia Sheri","2.1 Taratibu za ajira zitazingatia Sheria za nchi, Kanuni za Utumishi, barua\nza ajira na nyaraka mbalimbali zitakazokuwa zikitolewa mara kwa mara na Bodi ya\nWadhamini au Serikali.\n\n2.2 Nafasi za kazi zinapotokea na kutangazwa kwenye vyombo vya habari,\nnakala ya tangazo hilo ipelekwe kwa wakuu wote wa Hifadhi kwa njia iliyo rahisi\nikiwa ni pamoja na barua pepe na nukushi na kuwekwa kwenye mbao za matangazo\nsehemu za kazi.",{"bindId":65,"name":66,"text":67},"ONCERISE_trigger","Matukio yote ya kijasiri yatakayofanywa ","Matukio yote ya kijasiri yatakayofanywa na mtumishi kama vile kuokoa mali za\nshirika, maisha ya binadamu na mali zao yatatambuliwa na Mwajiri sanjari na\nkupewa tuzo maalum.",{"bindId":69,"name":70,"text":71},"OVERTIME_trigger","4.1 Saa za kazi, saa za ziada (Overtime)","4.1 Saa za kazi, saa za ziada (Overtime), siku za Jumamosi, Jumapili na siku\nza sikukuu (Public Holidays) zitatambulika kwa mujibu wa Sheria za nchi.\n\n4.2 Malipo ya saa za ziada na siku za Jumamosi, Jumapili na siku za sikukuu\nyatalipwa kwa kuzingatia viwango vya Serikali vya \"Extra Duty Allowance\"\nambavyo vitaboreshwa na kuwa shilingi 10,000\u002F= kwa \"Junior Staff\" na shilingi\n15,000\u002F= kwa \"Senior Staff\" katika ngazi ya Principal kwa siku. Hata hivyo\nviongozi kuanzia ngazi ya mshahara ya G.10 na kuendelea hawastahili malipo\nhayo.\n\n4.3 Malipo ya saa za ziada yatafanyika kunapokuwepo kazi inayotaka\nkukamilishwa nje ya wakati wa kazi. Idhini ya kazi ya ziada lazima iwe kwa\nmaandishi kutoka kwa kiongozi\u002F mkuu wa Hifadhi wa kazi.\n\n4.4 Viongozi wawaruhusu watumishi kupumzika kila inapowezekana badala ya\nkulipwa kwa kufanya kazi saa za ziada.",{"bindId":73,"name":74,"text":75},"hivpolicy","Sera ya kuzuia na kudhibiti UKIMWI itazi","Sera ya kuzuia na kudhibiti UKIMWI itazingatiwa kama ilivyopitishwa na\nMwajiri.",{"bindId":77,"name":78,"text":79},"trainingprogrammes","Mafunzo yatashughulikiwa kwa mujibu wa K","Mafunzo yatashughulikiwa kwa mujibu wa Kanuni za Utumishi na Sera ya\n\nMafunzo na kwa kuzingatia mahitaji na vipaumbele vya Shirika.",{"bindId":81,"name":82,"text":83},"childcareprovision","Mwajiri atawezesha uanzishaji wa shule z","Mwajiri atawezesha uanzishaji wa shule za awali katika kila Hifadhi pale\ninapohitajika na kwa mujibu wa Sheria na Taratibu za Serikali.",{"bindId":85,"name":58,"text":59},"healthcareaccess",{"bindId":87,"name":88,"text":89},"STRUCINCR_trigger","31.1Mwajiri atawajibika kutoa nyongeza y","31.1Mwajiri atawajibika kutoa nyongeza ya mshahara ya mwaka kwa watumishi\nkwa kuzingatia Kanuni za Utumishi.\n\n31.2 Mwajiri hatalazimika kumlipa nyongeza ya mshahara ya mwaka mtumishi\nambaye utendaji wake wa kazi utathibitika kuwa hauridhishi na atapaswa\nkumjulisha kwa maandishi.",{"bindId":91,"name":70,"text":92},"SUNDAY_trigger","4.1 Saa za kazi, saa za ziada (Overtime), siku za Jumamosi, Jumapili na siku\nza sikukuu (Public Holidays) zitatambulika kwa mujibu wa Sheria za nchi.",{"bindId":94,"name":82,"text":83},"educationtuition",{"bindId":96,"name":97,"text":98},"funeralpay","6.1 Mtumishi atakapofariki au kufiwa gha","6.1 Mtumishi atakapofariki au kufiwa gharama za mazishi zitakuwa kama\nzilivyoainishwa katika Kanuni za Utumishi.\n\n6.2 Mtumishi anapofariki au kufiwa atasindikizwa na watumishi wasiopungua\nwatano.\n\n6.3 Rambirambi italipwa kwa mujibu wa waraka uliopo na kwa jinsi\nutakavyoboreshwa mara kwa mara.","\u003Chtml>\n\n    \u003Cdiv class=\"cobra-report\">\n\n        \u003Ch2>TZA TANAPA - 2014\u003C\u002Fh2>\n\n        \u003Cdiv class=\"section general\">\n\n            \n                \u003Cdiv id=\"display-start_date\">Start date: &rarr;&nbsp;2014-01-01\u003C\u002Fdiv>\n            \n            \n\n            \n            \n                \u003Cdiv id=\"display-end_date\">End date: &rarr;&nbsp;Not specified\u003C\u002Fdiv>\n            \n\n            \u003C!-- TODO: previous CBA logic -->\n            \u003C!-- TODO: status logic -->\n\n            \n                \u003Cdiv id=\"display-cbaratified\">Ratified by: &rarr;&nbsp;Ministry\u003C\u002Fdiv>\n                \u003Cdiv id=\"display-cbaactorratified\">\n                    Ratified on: &rarr;&nbsp;Not yet ratified\n                \u003C\u002Fdiv>\n                \n            \n\n            \u003C!-- TODO: transnational_label, includingcountries_label, national_framework_label -->\n\n            \u003Cdiv id=\"display-SECTOR1\">\n                Name industry: &rarr;&nbsp;Hospitality, catering, tourism\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-NACE2004\">\n                Name industry: &rarr;&nbsp;Camping grounds, recreational vehicle parks and trailer parks\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-FIRMPRI\">\n                Public\u002Fprivate sector: &rarr;&nbsp;In the private sector\n            \u003C\u002Fdiv>\n            \n            \u003Cdiv>Concluded by:\u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-CBA_MNCOMPA_1\">\n\n                \n                    \n                    \u003Cdiv>\n                        Name company: &rarr;&nbsp;\n                        TANAPA\n                    \u003C\u002Fdiv>\n                \n                \u003Cdiv id=\"display-CBA_MNCOMPA_1_txt\">\u003C\u002Fdiv>\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-CBA_MEMTRAD4_1\">\n                Names trade unions: &rarr;&nbsp;\n\n                \n                    \n                    \u003Cspan>\n                        Conservation, Hotel, Domestic and Allied Workers’ Union (CHODAWU)\n                    \u003C\u002Fspan>\n                \n\n                \u003Cdiv id=\"display-CBA_MEMTRAD4_1_txt\">\u003C\u002Fdiv>\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n        \u003C\u002Fdiv>\n\n        \n\n        \u003Cdiv class=\"section training\">\n            \u003Ch3 id=\"display-TRAINING_trigger\">TRAINING\u003C\u002Fh3>\n            \u003Cdiv id=\"display-trainingprogrammes\">Training programmes: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-apprenticeships\">Apprenticeships: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-trainingfund\">Employer contributes to training fund for employees: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n        \u003C\u002Fdiv>\n\n        \u003Cdiv class=\"section sickness-disability\">\n            \u003Ch3 id=\"display-SICDIS_trigger\">SICKNESS AND DISABILITY\u003C\u002Fh3>\n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \n            \n            \u003Cdiv id=\"display-longtermillness\">Provisions regarding return to work after long-term illness, e.g. cancer treatment: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \n            \u003Cdiv id=\"display-menstruationleave\">Paid menstruation leave: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-disabilitypay\">Pay in case of disability due to work accident: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n\n        \u003C\u002Fdiv>\n\n\n        \u003Cdiv class=\"section health-medical-assistence\">\n            \u003Ch3 id=\"display-SICDIS_trigger\">HEALTH AND SAFETY AND MEDICAL ASSISTANCE\u003C\u002Fh3>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthcareaccess\">Medical assistance agreed: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthcareaccessrelatives\">Medical assistance for relatives agreed: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthinsurance\">Contribution to health insurance agreed: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthinsurancerelatives\">Health insurance for relatives agreed: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthandsafetypolicy\">Health and safety policy agreed: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthandsafetytraining\">Health and safety training agreed: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-protectiveclothing\">Protective clothing provided: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-hivpolicy\">Regular or yearly medical checkup or visits provided by the employer: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-monitoring\">Monitoring of musculoskeletal solicitation of workstations, professional risks and\u002For relationship between work and health: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-funeralpay\">Funeral assistance: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n        \n            \n        \u003C\u002Fdiv>\n\n        \u003Cdiv class=\"section work-family-arrangements\">\n            \u003Ch3 id=\"display-WORKFAM_trigger\">WORK AND FAMILY ARRANGEMENTS\u003C\u002Fh3>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-paidmaternityleaveduration\">\n                Maternity paid leave: &rarr;&nbsp;13 weeks\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-jobsecuritymothers\">Job security after maternity leave: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-maternitydiscrimination\">Prohibition of discrimination related to maternity: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n              \u003Cdiv id=\"display-breastfeeding_dangerouswork\">Prohibition to oblige pregnant or breastfeeding workers to perform dangerous or unhealthy work: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n              \u003Cdiv id=\"display-riskassessment\">Workplace risk assessment on the safety and health of pregnant or nursing women: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n              \u003Cdiv id=\"display-alternatives\">Availability of alternatives to dangerous or unhealthy work for pregnant or breastfeeding workers: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n              \u003Cdiv id=\"display-timeoff\">Time off for prenatal medical examinations: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n              \u003Cdiv id=\"display-screeningnonstandard\">Prohibition of screening for pregnancy before regularising non-standard workers: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n              \u003Cdiv id=\"display-screeningpromotion\">Prohibition of screening for pregnancy before promotion: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv> \n            \u003Cdiv id=\"display-nursingmothers\">Facilities for nursing mothers: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-childcareprovision\">Employer-provided childcare facilities: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-childcaresubsidy\">Employer-subsidized childcare facilities: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n   \u003Cdiv id=\"display-educationtuition\">Monetary tuition\u002Fsubsidy for children's education: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n   \n            \n\n            \n                        \n\n        \u003C\u002Fdiv>\n        \n        \n         \n\n        \n        \n\n        \u003Cdiv class=\"section working-hours\">\n            \u003Ch3 id=\"display-WORKHOURS_trigger\">WORKING HOURS, SCHEDULES AND HOLIDAYS\u003C\u002Fh3>\n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-holidaysdays\">\n                Paid annual leave: &rarr;&nbsp;28.0 days\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-holidaysweeks\">\n                Paid annual leave: &rarr;&nbsp;4.0 weeks\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-sundays_year\">\n                Maximum number of Sundays \u002F bank holidays that can be worked in a year: &rarr;&nbsp;\n            \u003C\u002Fdiv>\n            \n             \n            \n            \n            \n            \n            \n            \u003Cdiv id=\"display-FLEXWORK_trigger\"> Provisions on flexible work arrangements: &rarr;&nbsp;\n            \u003C\u002Fdiv>\n            \n        \u003C\u002Fdiv>\n\n        \u003Cdiv class=\"section wages\">\n            \u003Ch3 id=\"display-WAGES_trigger\">WAGES\u003C\u002Fh3>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-PAYSCALES_trigger\">\n                Wages determined by means of pay scales: &rarr;&nbsp;No\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n\n            \n            \n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-COSTLIV_trigger\">Adjustment for rising costs of living: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv>\n                \u003Ch4 id=\"display-STRUCINCR_trigger\">Wage increase\u003C\u002Fh4>\n                \n                \n                \n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv>\n                \u003Ch4 id=\"display-ONCERISE_trigger\">Once only extra payment\u003C\u002Fh4>\n                \n                \n                \u003Cdiv id=\"display-extrapayfirmperformance\">Once only extra payment due to company performance: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n                \n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n            \n\n\n            \u003Cdiv>\n                \u003Ch4 id=\"display-OVERTIME_trigger\">Premium for overtime work\u003C\u002Fh4>\n                \n                \u003Cdiv id=\"display-overtimeallowanceamount1\">\n                    Premium for overtime work: &rarr;&nbsp;TZS&nbsp;10000.0 per hour overtime\n                \u003C\u002Fdiv>\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \u003Cdiv>\n                \u003Ch4 id=\"display-SUNDAY_trigger\">Premium for Sunday work\u003C\u002Fh4>\n                \n                \u003Cdiv id=\"display-sundayallowanceamount1\">\n                    Premium for Sunday work: &rarr;&nbsp;TZS&nbsp;10000.0 per Sunday\n                \u003C\u002Fdiv>\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n            \u003Ch4>Meal vouchers\u003C\u002Fh4>\n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-MEALALL_trigger\">Meal allowances provided: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \n            \u003Cdiv id=\"display-legalassistance_trigger\">\n                Free legal assistance: &rarr;&nbsp;\n            \u003C\u002Fdiv>\n        \u003C\u002Fdiv>\n\n    \u003C\u002Fdiv>\n\n\u003C\u002Fhtml>\n",[],[],"collective_agreement",[104],{"title":37,"slug":33},[106],{"type":107,"data":108},"call_to_action_body_block",{"title":109,"description":110,"variant":111,"link":112},"Compare Collective Agreements","Compare the articles of the Collective Agreements from Tanzania across sectors, topics and countries","dark",{"title":109,"url":113,"description":109,"rel":114,"type":115},"\u002Fen-tz\u002Fwork-in-tanzania\u002Fcollective-bargaining-agreement\u002Fcompare-collective-agreements","follow","internal",[117],{"type":107,"data":118},{"title":109,"description":110,"variant":111,"link":119},{"title":109,"url":113,"description":109,"rel":114,"type":115},[]]