[{"data":1,"prerenderedAt":-1},["ShallowReactive",2],{"page:en-tz\u002Fwork-in-tanzania\u002Fcollective-bargaining-agreement\u002Fmapendekezo-ya-mkataba-wa-hali-bora-baina-ya-tuico-na-mwajiri-nyanza-bottling-co-ltd-tuico-2013":3},{"id":4,"slug":5,"title":6,"short_title":7,"intro_text":8,"meta_description":8,"seo_title":8,"path":9,"content_type":10,"locale":11,"go_live_at":7,"first_published_at":12,"page_created_at":13,"published_at":12,"edit_url":14,"breadcrumbs":15,"seo":23,"data":31,"children":100,"content_type_view":101,"extra_breadcrumbs":102,"body":104,"body_blocks":115,"related_pages":119},608,"collective-bargaining-agreement","Collective Bargaining Agreement",null,"","\u002Fen-tz\u002Fwork-in-tanzania\u002Fcollective-bargaining-agreement","collective_agreements.collectiveagreementoverview","en_TZ","2025-07-27T08:21:24.461051+00:00","2026-04-02T11:17:39.121481+00:00","\u002Fcms\u002Fpages\u002F608\u002Fedit\u002F",[16,19,22],{"title":17,"slug":18},"Tanzania","en-tz",{"title":20,"slug":21},"Work in Tanzania","work-in-tanzania",{"title":6,"slug":5},{"title":6,"description":8,"image":24,"canonical":25,"robots":26,"og_type":27,"twitter_card":28,"locale":18,"created_at":29,"last_modified_at":30},"https:\u002F\u002Fwageindicator.org\u002Fmedia\u002Fimages\u002FSocial_media_preview_image_-_2025.2e16d0ba.fill-1200x630.png","https:\u002F\u002Fwageindicator.org\u002Fen-tz\u002Fwork-in-tanzania\u002Fcollective-bargaining-agreement\u002F","index, follow","website","summary_large_image","2025-07-27T10:21:24.461051+02:00","2026-04-02T13:17:39.220874+02:00",{"cba":32,"clauses":43,"details":98,"translations":99},{"id":33,"uid":34,"url":35,"name":36,"locale":11,"override_title":8,"title":37,"browser_title":38,"browser_description":39,"text":40},"mapendekezo-ya-mkataba-wa-hali-bora-baina-ya-tuico-na-mwajiri-nyanza-bottling-co-ltd-tuico-2013","48d322f8-34cd-11e3-a2e9-001e0bbf9952","https:\u002F\u002Fcobra.wageindicator.org\u002Fcountries\u002Ftanzania\u002Fmapendekezo-ya-mkataba-wa-hali-bora-baina-ya-tuico-na-mwajiri-nyanza-bottling-co-ltd-tuico-2013\u002Fmapendekezo-ya-mkataba-wa-hali-bora-baina-ya-tuico-na-mwajiri-nyanza-bottling-co-ltd-tuico-2013\u002F","Mapendekezo Ya Mkataba Wa Hali Bora Baina Ya TUICO Na Mwajiri Nyanza Bottling Co. Ltd - 2013","TZA Nyanza Bottling Co.Ltd - 2013","Tanzania - TZA Nyanza Bottling Co.Ltd - 2013","TZA Nyanza Bottling Co.Ltd - 2013 - Manufacturing",{"name":41,"data":42},"CBA - NYANZA BOTTLING CO swahili.html","\n              \n              \n              \u003C!--?xml version=\"1.0\" encoding=\"UTF-8\" ?-->\n\n\n\n  \u003Cmeta http-equiv=\"content-type\" content=\"text\u002Fhtml; charset=UTF-8\">\n  \u003Ctitle>New1\u003C\u002Ftitle>\n  \u003Cmeta name=\"generator\" content=\"Amaya, see http:\u002F\u002Fwww.w3.org\u002FAmaya\u002F\">\n\n\n\n\u003Ch1>MAPENDEKEZO YA MKATABA WA HALI BORA BAINA YA TUICO KWA NIABA YA WAFANYAKAZI\nWA NYANZA BOTTLING CO. LTD NA MWAJIRI NYANZA BOTTLING CO. LTD TUICO 2013\u003C\u002Fh1>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>1.0 UTANGULIZI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Mkataba huu baada ya kukamilika kwake utakuwa ni mali ya CHAMA CHA\nWAFANYAKAZI WA VIWANDA,BIASHARA,TAASISI ZA FEDHA HUDUMA NA USHAURI(TUICO) na\nNYANZA BOTTLING CO. LTD (NBCL).\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>2.0 UTAMBUZI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>2.1 Chama cha Wafanyakazi TUICO kinatambua NBCL ndiye mwajiri ambaye\nwafanyakazi wake ni wanachama WATUICO.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>2.2 Mwajiri anaitambua TUICO kuwa ndicho chombo pekee cha wafanyakazi\nkinachosimamia haki na maslahi yao.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>2.3 Kila upande unatambua uhalali na uwepo wa chombo kingine na kwamba\nwafanyakazi ni kiungo kikubwa cha ushirikiano.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>3.0 WAHUSIKA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Mkataba huu utawahusu wafanyakazi wote wa kiwanda hiki isipokuwa wataalamu\ntoka nje.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>4.0 KUDUMU NA TAREHE YA KUANZA MKATABA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>4.1 Mkataba ukiisha sainiwa marekebisho yatafanyika kwa kufuata utaratibu wa\nsheria.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>4.2 Endapo Mkataba utakuwa umeisha muda wake utaendelea kuheshimika au\nkutumika hadi utakapopendekezwa Mkataba mpya na kusainiwa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>4.3 Mkataba huu utadumu kwa muda wa miezi 24\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>5.0 RIPOTI ZA WAFANYAKAZI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>(i) Kutakuwa na ripoti za wafanyakazi za kila mwaka za maendeleo, na\nutendaji wa kazi zao ambazo kila Mkuu wa Idara atalazimika kuzijaza kumpelekea\nmwenye mamlaka ya juu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>6.0 MUDA WA MAJARIBIO\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cdiv id=\"clause-contracttrialperiod\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-contracttrial\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cp>Pande zote mbili wamekubaliana kuwa atakayeajiriwa atakuwa na muda wa\nmajaribio wa miezi mitatu. Baada ya muda huo kumalizika mwajiri atakuwa na haki\nya kumwajiri au kumuachisha.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>7.0 AJIRA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Pande zote mbili wamekubaliana kuwa kutakuwa na ajira za aina tatu:\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(a) Ajira isiyokuwa na muda maalumu\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(b) Ajira za muda maalum kwa wafanyakazi wa ngazi za uongozi na wataalamu\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(c) Ajira ya kazi maalum\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>8.0 KUACHA\u002FKUACHISHWA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>8.1 Kwa sababu yoyote ile ya kimsingi inapokuwepo haja ya kumwachisha\nkazi\u002Fkuacha kazi\u002Fmfanyakazi kila upande utampa taarifa mwenzake kwa utaratibu\nufuatao:-\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>MUDA KAZINI MIAKA:TAARIFA YA KUACHA\u002F KUACHISHWA KAZI MUDA:MALIPO BAD ALA YA\nTAARIFA\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>Miaka 1-3 Miaka 3-6 Zaidi ya miaka 6Mwezi mmoja (1) Miezi miwili (2) Miezi\nmitatu (3)Mshahara wa mwezi mmoja (1) Mishahara. ya miezi miwili (2)\nMish.ah.ara ya miezi mitatu (3)\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>8.2 Mfanyakazi anapoacha au kuachishwa kazi baada ya kufuata taratibu za\nhapo juu alipwe haki zake mara moja kama Mkataba huu unavyosema.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>8.3 Mfanyakazi anapoacha kwa kufata taratibu kama hapo juu alipwre haki zake\nmara muda wa taarifa (notice) unapokwisha.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cdiv id=\"clause-contractseverancepay1\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-contractseverancepay\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cp>8.4 Mfanyakazi atakayeacha au kuachishwa au kustaafu kuanzia miaka 2 na\nkuendelea atalipwa gratuity 30% x mishahara ya mwezi (Basic) x 12 x miaka\naliyofanya kazi.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>9.0 UPUNGUZAJI WA WAFANYAKAZI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>9.1 Pande zote mbili zimekubaliana kujizatiti katika kulinda nafasi zao za\nkazi zilizopo na kufanya kila juhudi kuzuia uwezeka.no wa kupunguza wafanyakazi\nambao tayari wana nafasi zao za ajira.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>9.2 Upunguzaji wa wafanyakazi utachukua nafasi tu baada ya uongozi wa kutoka\nIdara moja kwenda nyingine mpaka hapo hali itakapokuwa nzuri au utaratibu\nutatumika kupunguza wafanyakazi pamoja na zoezi hilo masuala yafuatayo\nyazingatiwe:\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(a) Juhudi\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(b) Muda kazini\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(c) Masuala ya afya\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(d) Uwezo wa kufanya. kazi (Uzoefu)\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(e) Umri\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(f) Wale wrote wanaopunguzwa kazi wawe wa. kwanza kurejeshwa kazini.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>9.3 Imekubalika ya kuwa kwa madhumuni ya Mkataba huu kupunguza wafanyakazi\nina maana ya kuwaachisha kazi. bila ya makosa yao wenyewe. Hivyo, muundo wa\nkuacha\u002Fkuachishwa utumike katika malipo wakati wa. kupunguza. aya ya 6.1, 6.2,\n6.3 na 6.4 hapo juu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>10.0 MASAA YA ZIADA (OVERTIME)\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cdiv id=\"clause-schedulesrestpw\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-SCHEDULE_trigger\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-dayspweek\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-dayspweek_select\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cp>10.1 Mfanyakazi atakayefanya kazi masaa ya ziada katika siku za kawaida\natalipwa mara moja na nusu ya saa atakazokuwa amefanya kazi na siku za Jumapili\nna sikukuu atalipwa mara mbili ya saa. atakazokuwa amefanya kazi mfanyakazi\nasipewe (off) badala ya malipo.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>11.0 LIKIZO\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>11.1 LIKIZO YA MWAKA\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cdiv id=\"clause-annleaveallowanceamount1\" class=\"cbaClause highlight focus\">\u003Cdiv id=\"clause-annleaveallowancetype\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-ANNLEAVE_trigger\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-holidaysdays\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-PAIDLEAV_trigger\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cp>Katika utumishi wa miezi kumi na miwili (12) mfanyakazi atakuwa na haki ya\nkupumzika siku 28. Pia mfanyakazi atalipwa nauli kwa ajili ya kwenda likizo\nyeye na familia yake ikihusishwa na nauli ya wakati huo kwenda na kurudi pamoja\nna Allowance ya Tshs. 30,000\u002F= (Elfu thelathini tu) Mme\u002FMke\u002Fna watoto wane kwa\nkila mwaka.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>11.2 LIKIZO YA DHARURA\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(i) Likizo ya siku saba (7) au zaidi yenye malipo itatolewa kwa mfanyakazi\nakifiwa na Baba\u002F Mama\u002F Mke\u002F Mme nay a watoto walioandikishwa kisheria na\nisipunguzwe katika likizo ya mwaka.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(ii) Mkopo wa Tshs. 100,000\u002F= (Laki moja) utatolewa kwa mfanyakazi akifiwa\nna mmojawapo aliyetajwa hapo juu. Hata kama bado anadaiwa mkopo mwingine, mkopo\nhuo utalipwa. kwa kipindi cha miezi kumi na miwili (12).\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(iii) Likizo nyingine nje ya sababu hizo hapo juu itakuwa haina malipo siyo\nya mwaka wala kufiwa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>12.0 LIKIZO YA UGONJWA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Mfanyakazi atakayekosekana. kazini kwa rahusa. na idhini ya Daktari\nanayetambulika, kwa mwajiri na serikali na kuambatana. na vielelezo, kam ED,\natahesabika yuko likizo ya ugonjwa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>13.0 MATIBABU\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cdiv id=\"clause-healthcareaccessrelatives\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-healthcareaccess\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cdiv id=\"clause-disabilitypay\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cp>13.1 Pande zote mbili zinakubaliana kwamba wafanyakazi wapewe huduma za\nmatibabu katika zahanati au Hospitali iliyoteuliwa na kiwanda. Ikiwa pamoja na\nMke\u002FMme \u002Fna watoto wake walioandikishwa kikampuni wasiozidi watoto wane (4) na\nmwajiri atapaswa kutoa sick-sheet (hati ya matibabu) kima cha chini matibabu\nyawe Tshs. 100,000\u002F =\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>13.2 Mwajiri atazingatia taratibu za afya na usalama wa wafanyakazi kama\nilivyotafsiriwa katika. sheria ya Afya na Usalama. OSHA ACT.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>13.3 Ili kupunguza matatizo yanayowakabili wafanyakazi wanaougua na kulazwa\nHospitali mwajiri atamlipa mgonjwa anayehusika. Gharama za matibabu kufuatana\nna taratibu za kiwanda zitatumika.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>14.0 VIFO NA MAZISHI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cdiv id=\"clause-funeralpay\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cp>14.1 Gharama za mazishi zitatolewa kwa mfanyakazi aliyefariki akiwa bado\nkatika utumihsi au jamaa ya mfanyakazi akiwa Mke\u002FMe\u002FBaba\u002FMama au watoto.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>14.2 Mwajiri aatoa. sanduku, SANDA, Shada. la maua, fedha aslimu Tshs.\n150,000\u002F= zikiwa ni rambirambi kwa wafiwa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>14.3 Endapo mfanyakazi wa Kiwanda cha NBCL Baba\u002FMama\u002FMke au mtoto atafariki\nna iwapo jamaa ya marhemu wTatataka kusafirisha maiti kiwanda kitagharamia\nusafiri wa. maiti hadi kwao na marehemu au jamaa zake watakapohitaji azikwe,\nhii ni pamoja na gharama zote za No. 11.1 na 11.2 hapo juu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>14.4 Mwajiri aanzishe mfuko wa Bima kwa ajili ya wafanyakazi.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>15.0 SARE ZA KAZI NA VIFAA VYA KUHTFADHIA MWILI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cdiv id=\"clause-healthandsafetypolicy\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cp>15.1 Kwa wafanyakazi wote wa Idara ya uzalishaji, Ulinzi wahudumu wa Ofisi,\nMadereva, mafundi n.k. watapewa Jozi mbili, safety boot jozi moja, za sare kila\nmwaka na vifaa vinginevyo vya kuhifadhi mwili popote wanapohitajika sehemu za\nkazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>15.2 Mfanyakazi atakayepewa nguo, safety boot, vifaa vya kuhifadhi mwili\natalazimika kuzivaa\u002Fkuvitumia katika nyakati zote za kazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>15.3 Mfanyakazi ambaye atagunduliwa kuwa hatumii nguo zake za kazi au vifaa\nvya kazi kujikinga ataadhibiwa chini ya sheria ya Afya na kazini. Vinevyo\nzikiwepo sababu za msingi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>15.4 Mfanyakazi atatakiwa kuleta. vifaa vya zamani kabla hajakabidhi vipya,\nvinginevyo alipe gharama.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>16.0 MKOPO (LOAN)\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>16.1 Kiwanda kitakuwa kinatenga fedha, kila mwaka kwa ajili ya mikopo kwa\nwafanyakazi kiasi cha mkopo kitategemea uzito wa shida ya mfanyakazi. Mkopo\nutakaorahusiwa usizidi mshahara wa miezi sita (6)malipo ya mkopo yatakuwa kwa\nmuda usiozidi miezi kumi na miwili (12).\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>16.2 Kwa shida ndogondogo (Advance) ziendelee kutolewa kama\nzinavyotolewa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>17.0 KUSTAAFU\u002FKUSTAAFISHWA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Utaratibu wa kiinua mgongo (gratuity) utumike kwa kila mwezi kama taratibu\nzilivyowekwa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>17.1 Mtumishi anaweza kustaafu kazi kwa sababu mojawapo ya zifuatazo:\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(i) Anafikisha umri wa kustaafu kwa lazima yaani umri wa miaka 60\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(ii) Kustaafu kwa hiari baada ya umri kufikia miaka 55\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(iii) Kustaafu kwa sababu ya afya mbaya yna Daktari kuthibitisha kwamba afya\nyake haimruhusu kuendelea na kazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>17.2 Mwajiri atatoa zawadi ya kumuaga mstaaafu asilimia 80% ya thamani ya\nzawadi zitakazoamliwa na wafanyakazi watachangia 20%\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>18.0 MFANYAKAZI BORA\u002FHODARI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>18.1 Kila mwaka kila idara itakuwa imechagua mfanyakazi bora na huyo\nmfanyakazi atapewa kiasi cha Tshs. 200,000\u002F= kuendelea.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>19.0 MPANGO WA UFANISI WA KAZI (TIJA)\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>19.1 Tumekubaliana kwamba ili kuinua ufanisi wa kazi katika kiwanda mambo\nyafuatayo yanahitajika.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(a) Tujitahidi kutumia vyombo vya kufanyia kazi kwa uangalifu zaidi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(b) Matumizi bora ya saa za kazi\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(c) Uagizaji haraka kwa vipuri vya mitambo kabla ya vingine havij\naharibika.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(d) Kutengeneza mitambo kwa ustadi sana mara inapopelekwa katika\nkarakana.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(e) Utii na uaminifu kazini\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(f) Matumizi bora ya magari na mitambo iliyopo\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(g) Kustawisha njia bora za kuzalisha. mali.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>20.0 NIDHAMU KATIKA KAZI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Kila mfanyakazi atatakiwa:\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(i) Kutunza siri za kiwanda\u002FKampuni\u002FShirika\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(ii) Kuwaheshimu viongozi wake\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(iii) Kuheshimu kazi yake na kufanya kama anavyoelekezwa\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(iv) Kuheshimu wafanyakazi wenzake\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(v) Ivuwa mahali pa kazi wakati wote unaotakiwa\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(vi) Kuwa msafi kila wakati\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(vii) Kutunza usafi wa vyombo vya kazi\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(viii) Kuheshimu wageni na wanachama na kuwahudumia vizuri\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(ix) Kuipenda kazi yake na kuifanya kwa moyo wote\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(x) Kutii kanuni zote za mwajiri na maagizo yanayotolewa na viongozi\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>21.0 KUPUMZIKA KAZI KWA MUDA (LAY OFF)\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Itokeapo au ifikiapo hali ya kusimamisha kazi kwa muda au kutokana na msimu\nwa uzalishaji kwa muda usiojulikana\u002Fkwa. muda utakaojulikana katika kiwanda\nimekubaliwa kuwa:\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(a) Mwajiri kwa haraka atajulisha Tawi la TUICO hali ilivyo\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(b) Matayarisho ya haraka ya kukutana kushauriana kuhusu hai hiyo na hatua\nzitakazochukuliwa kukabili tatizo hilo yatafanywa na mwajiri, kwa kushauriana\nna Tawi la TUICO kiwandani hapo na TUICO Mkoa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(c) Wafanyakazi watakapopumzishwa watalipwa nusu mhshara kwa muda wa miezi\nmitatu na endapo itazidi miezi mine wafanyakazi wataachishwa kazi na kulipwa\nhaki zao wanazostahili.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>22.0 VIWANGO NA NGAZI ZA MISHAHARA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Nyongeza za mishahara zitatolewa. kwa wafnayakzi wot na Utawala kwa\nkushirkiana na Tawi (TUICO) kulingana na utumishi wa muda wa mfanyakazi\naliotumikia kazini katika ajira yake na kufuatana na Elimu, uzito wa kazi,\nUjuzi, Taaluma ya kazi n.k.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>23.0 NYONGEZA YA MISHAHARA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>MUDA WA UTUMISHIKIWANGO CHA KUANZIANYONGEZA YA KILA MWAKAMWISHO WA\nKIWANGO\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>1. Mwaka 1 hadi 3Tshs. 750,00070%Tshs. 150,000\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>2. Miaka 3 hadi 6Tshs. 750,00050%Tshs. 225,000\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>3. Miaka 6 na kuendeleaTshs. 225,00050%Tshs. 339,000 na kuendelea\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>23.1 Kila mwaka TUICO na management watakaa na kuzungumzia nyongeza ya\nmishahara.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>24.0 NYONGEZA MAALUMU YA MSHAHARA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Mfanyakazi anaweza kuongezwa mshahara maalumu (mara mbili katika kipindi\nkimoja ikiwa:-\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(i) Amekuwa mfanyakazi bora\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(ii) Amefuzu mafunzo ambayo yanamruhusu kupata nyongeza hizo kwa mujibu wa\nmu undo wa utumishi kwiandani unaoruhusu.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>(iii) Mfanyakaziatapandihwa cheo kufuatana na juhudi zake kazini na pia\natalipwa marupurupu ya uongozikufuatana na cheo chake hicho kipya.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>25.0 ADA YA MWANACHAMA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Ada ya mwanachama wa TUICO zitakatwa 2% kutokana na kipato cha\nmfanyakazi\u002Fmwanahama na kiasi hicho kama malipo ya huduma za chama na\nkuwasilishwa makao makuu ya TUICO kupitia kwa katibu wa Mkoa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>26.0 CHAKULA CHA MCHANA\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cdiv id=\"clause-mealvouchers\" class=\"cbaClause highlight\">\u003Cp>Utaratibu wa chakula Canteen kwa kampuni uendelee kama ulivyopangwa.\u003C\u002Fp>\u003C\u002Fdiv>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>27.0 MPANGO WA UFANISI WA KAZI (TIJA)\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Mfanyakazi ataendelea kupewa zawadi ya X-mas kila mwaka ili kusherekea\nsikukuu hizo.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>28.0 POSHO YA SAFARI ZA KIKAZI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Mfanyakazi atastahili malipo ya posho ya safri za kikazi nje ya riba na\nndani ya nchi kwa kiwango vilivyowekwa. na serikali.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>29.0 SACCOS\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>29.1 Mwajiri wa TUICO Tawi, lazima wakae pamoja na kuwaelimisha wafanyakazi\njinsi ya kuanzisha Saccos. Mwajiri atagharimia mkutano wa saccos na vifaa ikiwa\nni pamoja na gharama za mafunzo. Baada ya hapo Saccos itaanzishwa sehemu ya\nkazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>30.0 ELIMU NA MAFUNZO\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>30.1 Kila mfanyakazi atastahili kupewa mafunzo ya juu ya utaalamu wake ndani\nau nje ya nchi kama ni lazima ili kuongeza ujuzi na utendaji bora wa kazi.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>30.2 Mfanyakazi aliyepelekwa mafunzo hataruhusiwa kubadili masomo yake bila\nidhini ya mwajiri wake.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>30.3 Mfanyakazi atakayebadilisha masomo bila idhini ya mwajiri wake\natarudishwa nyumbani au atalipa gharama zote za masomo hayo yeye mwenyewe kama\ngharama hizo hazijalipwa.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>31.0 BONUS\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>Utaratibu wa kulipa Bonus kila siku kufuatana na uzalishaji mali\u002Fuendeshaji\nmali uendelee na pia ulipaji bonus kwa wafanyakazi wote kila mwaka uendelee na\nitolewe kwa wakati mwafaka.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>32.0 MWISHO\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>32.1 Upande wowote utakaovunja kifungu kimojawapo ndani ya Mkataba huu hatua\nkali ya kisheria zitumike mara moja.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>32.2 Kwa kuwa tunaamini kwamba mali ya Kampuni ndiyo msingi wa Ajira,\nwafanyakazi tuwe wa kwanza kulinda mali hii na atakayebainika na uharibifu wa\naina yoyote hatua kali zitachukuliwa dhidi yake.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Ch3>\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Ch3>33.0 SAHIHI\u003C\u002Fh3>\n\n\u003Cp>33.1 Mkataba huu umetiwa sahihi .........\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>mwezi.....200......\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>katika Ofisi ya........\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>Kwa niaba ya\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>CHAMA CHA WAFANYAKAZI (TUICO)\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>Kwa niaba\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>MENEJIMENTI YA.\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>KATIBU WA TUICO MKOA\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>MENEJA\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>MWENYEKITI\u002FTUICO TAWI\u003C\u002Fp>\n\n\u003Cp>\u003C\u002Fp>\n\u003Cscript type=\"text\u002Fjavascript\">\u002F\u002F\u003C![CDATA[\n(function(){var d=encodeURIComponent,f=window,g=document,h=\"documentElement\",k=\"length\",l=\"prototype\",m=\"body\",p=\"&\",s=\"&ci=\",t=\",\",u=\"?\",v=\"Content-Type\",w=\"Microsoft.XMLHTTP\",x=\"Msxml2.XMLHTTP\",y=\"POST\",z=\"application\u002Fx-www-form-urlencoded\",A=\"img\",B=\"input\",C=\"load\",D=\"oh=\",E=\"on\",F=\"pagespeed_url_hash\",G=\"url=\";f.pagespeed=f.pagespeed||{};var H=f.pagespeed,I=function(a,b,c){this.c=a;this.e=b;this.d=c;this.b=this.f();this.a={}};I[l].f=function(){return{height:f.innerHeight||g[h].clientHeight||g[m].clientHeight,width:f.innerWidth||g[h].clientWidth||g[m].clientWidth}};I[l].g=function(a){a=a.getBoundingClientRect();return{top:a.top+(void 0!==f.pageYOffset?f.pageYOffset:(g[h]||g[m].parentNode||g[m]).scrollTop),left:a.left+(void 0!==f.pageXOffset?f.pageXOffset:(g[h]||g[m].parentNode||g[m]).scrollLeft)}};I[l].h=function(a){if(0>=a.offsetWidth&&0>=a.offsetHeight)return!1;a=this.g(a);var b=a.top.toString()+t+a.left.toString();if(this.a.hasOwnProperty(b))return!1;this.a[b]=!0;return a.top\u003C=this.b.height&&a.left\u003C=this.b.width};I[l].i=function(a){var b;if(f.XMLHttpRequest)b=new XMLHttpRequest;else if(f.ActiveXObject)try{b=new ActiveXObject(x)}catch(c){try{b=new ActiveXObject(w)}catch(e){}}if(!b)return!1;b.open(y,this.c+(-1==this.c.indexOf(u)?u:p)+G+d(this.e));b.setRequestHeader(v,z);b.send(a);return!0};I[l].k=function(){for(var a=[A,B],b=[],c={},e=0;e\u003Ca[k];++e)for(var q=g.getElementsByTagName(a[e]),n=0;n\u003Cq[k];++n){var r=q[n].getAttribute(F);r&&(q[n].getBoundingClientRect&&this.h(q[n]))&&!(r in c)&&(b.push(r),c[r]=!0)}if(0!=b[k]){a=D+this.d;a+=s+d(b[0]);for(e=1;e\u003Cb[k];++e){c=t+d(b[e]);if(131072\u003Ca[k]+c[k])break;a+=c}H.criticalImagesBeaconData=a;this.i(a)}};H.j=function(a,b,c){if(a.addEventListener)a.addEventListener(b,c,!1);else if(a.attachEvent)a.attachEvent(E+b,c);else{var e=a[E+b];a[E+b]=function(){c.call(this);e&&e.call(this)}}};H.l=function(a,b,c){var e=new I(a,b,c);H.j(f,C,function(){f.setTimeout(function(){e.k()},0)})};H.criticalImagesBeaconInit=H.l;})();pagespeed.criticalImagesBeaconInit('\u002Fmod_pagespeed_beacon','http:\u002F\u002Fcobra.wageindicator.org\u002Fcountries\u002Ftanzania\u002Fmapendekezo-ya-mkataba-wa-hali-bora-baina-ya-tuico-na-mwajiri-nyanza-bottling-co-ltd-tuico-2013\u002Fmapendekezo-ya-mkataba-wa-hali-bora-baina-ya-tuico-na-mwajiri-nyanza-bottling-co-ltd-tuico-2013\u002Fannotate','SkBrK9JthN');\n\u002F\u002F]]>\u003C\u002Fscript>\n\n\n            \n            \n            ",{"disabilitypay":44,"healthandsafetypolicy":48,"contracttrialperiod":52,"healthcareaccessrelatives":56,"annleaveallowanceamount1":58,"dayspweek":62,"contractseverancepay1":66,"contracttrial":70,"schedulesrestpw":72,"holidaysdays":74,"mealvouchers":76,"dayspweek_select":80,"healthcareaccess":82,"ANNLEAVE_trigger":84,"annleaveallowancetype":86,"SCHEDULE_trigger":88,"PAIDLEAV_trigger":90,"contractseverancepay":92,"funeralpay":94},{"bindId":45,"name":46,"text":47},"disabilitypay","13.1 Pande zote mbili zinakubaliana kwam","13.1 Pande zote mbili zinakubaliana kwamba wafanyakazi wapewe huduma za\nmatibabu katika zahanati au Hospitali iliyoteuliwa na kiwanda. Ikiwa pamoja na\nMke\u002FMme \u002Fna watoto wake walioandikishwa kikampuni wasiozidi watoto wane (4) na\nmwajiri atapaswa kutoa sick-sheet (hati ya matibabu) kima cha chini matibabu\nyawe Tshs. 100,000\u002F =\n\n13.2 Mwajiri atazingatia taratibu za afya na usalama wa wafanyakazi kama\nilivyotafsiriwa katika. sheria ya Afya na Usalama. OSHA ACT.\n\n13.3 Ili kupunguza matatizo yanayowakabili wafanyakazi wanaougua na kulazwa\nHospitali mwajiri atamlipa mgonjwa anayehusika. Gharama za matibabu kufuatana\nna taratibu za kiwanda zitatumika.",{"bindId":49,"name":50,"text":51},"healthandsafetypolicy","15.1 Kwa wafanyakazi wote wa Idara ya uz","15.1 Kwa wafanyakazi wote wa Idara ya uzalishaji, Ulinzi wahudumu wa Ofisi,\nMadereva, mafundi n.k. watapewa Jozi mbili, safety boot jozi moja, za sare kila\nmwaka na vifaa vinginevyo vya kuhifadhi mwili popote wanapohitajika sehemu za\nkazi.\n\n15.2 Mfanyakazi atakayepewa nguo, safety boot, vifaa vya kuhifadhi mwili\natalazimika kuzivaa\u002Fkuvitumia katika nyakati zote za kazi.\n\n15.3 Mfanyakazi ambaye atagunduliwa kuwa hatumii nguo zake za kazi au vifaa\nvya kazi kujikinga ataadhibiwa chini ya sheria ya Afya na kazini. Vinevyo\nzikiwepo sababu za msingi.\n\n15.4 Mfanyakazi atatakiwa kuleta. vifaa vya zamani kabla hajakabidhi vipya,\nvinginevyo alipe gharama.",{"bindId":53,"name":54,"text":55},"contracttrialperiod","Pande zote mbili wamekubaliana kuwa atak","Pande zote mbili wamekubaliana kuwa atakayeajiriwa atakuwa na muda wa\nmajaribio wa miezi mitatu. Baada ya muda huo kumalizika mwajiri atakuwa na haki\nya kumwajiri au kumuachisha.",{"bindId":57,"name":46,"text":47},"healthcareaccessrelatives",{"bindId":59,"name":60,"text":61},"annleaveallowanceamount1","Katika utumishi wa miezi kumi na miwili ","Katika utumishi wa miezi kumi na miwili (12) mfanyakazi atakuwa na haki ya\nkupumzika siku 28. Pia mfanyakazi atalipwa nauli kwa ajili ya kwenda likizo\nyeye na familia yake ikihusishwa na nauli ya wakati huo kwenda na kurudi pamoja\nna Allowance ya Tshs. 30,000\u002F= (Elfu thelathini tu) Mme\u002FMke\u002Fna watoto wane kwa\nkila mwaka.",{"bindId":63,"name":64,"text":65},"dayspweek","10.1 Mfanyakazi atakayefanya kazi masaa ","10.1 Mfanyakazi atakayefanya kazi masaa ya ziada katika siku za kawaida\natalipwa mara moja na nusu ya saa atakazokuwa amefanya kazi na siku za Jumapili\nna sikukuu atalipwa mara mbili ya saa. atakazokuwa amefanya kazi mfanyakazi\nasipewe (off) badala ya malipo.",{"bindId":67,"name":68,"text":69},"contractseverancepay1","8.4 Mfanyakazi atakayeacha au kuachishwa","8.4 Mfanyakazi atakayeacha au kuachishwa au kustaafu kuanzia miaka 2 na\nkuendelea atalipwa gratuity 30% x mishahara ya mwezi (Basic) x 12 x miaka\naliyofanya kazi.",{"bindId":71,"name":54,"text":55},"contracttrial",{"bindId":73,"name":64,"text":65},"schedulesrestpw",{"bindId":75,"name":60,"text":61},"holidaysdays",{"bindId":77,"name":78,"text":79},"mealvouchers","Utaratibu wa chakula Canteen kwa kampuni","Utaratibu wa chakula Canteen kwa kampuni uendelee kama ulivyopangwa.",{"bindId":81,"name":64,"text":65},"dayspweek_select",{"bindId":83,"name":46,"text":47},"healthcareaccess",{"bindId":85,"name":60,"text":61},"ANNLEAVE_trigger",{"bindId":87,"name":60,"text":61},"annleaveallowancetype",{"bindId":89,"name":64,"text":65},"SCHEDULE_trigger",{"bindId":91,"name":60,"text":61},"PAIDLEAV_trigger",{"bindId":93,"name":68,"text":69},"contractseverancepay",{"bindId":95,"name":96,"text":97},"funeralpay","14.1 Gharama za mazishi zitatolewa kwa m","14.1 Gharama za mazishi zitatolewa kwa mfanyakazi aliyefariki akiwa bado\nkatika utumihsi au jamaa ya mfanyakazi akiwa Mke\u002FMe\u002FBaba\u002FMama au watoto.\n\n14.2 Mwajiri aatoa. sanduku, SANDA, Shada. la maua, fedha aslimu Tshs.\n150,000\u002F= zikiwa ni rambirambi kwa wafiwa.\n\n14.3 Endapo mfanyakazi wa Kiwanda cha NBCL Baba\u002FMama\u002FMke au mtoto atafariki\nna iwapo jamaa ya marhemu wTatataka kusafirisha maiti kiwanda kitagharamia\nusafiri wa. maiti hadi kwao na marehemu au jamaa zake watakapohitaji azikwe,\nhii ni pamoja na gharama zote za No. 11.1 na 11.2 hapo juu.\n\n14.4 Mwajiri aanzishe mfuko wa Bima kwa ajili ya wafanyakazi.","\u003Chtml>\n\n    \u003Cdiv class=\"cobra-report\">\n\n        \u003Ch2>TZA Nyanza Bottling Co.Ltd - 2013\u003C\u002Fh2>\n\n        \u003Cdiv class=\"section general\">\n\n            \n                \u003Cdiv id=\"display-start_date\">Start date: &rarr;&nbsp;2013-01-01\u003C\u002Fdiv>\n            \n            \n\n            \n            \n                \u003Cdiv id=\"display-end_date\">End date: &rarr;&nbsp;Not specified\u003C\u002Fdiv>\n            \n\n            \u003C!-- TODO: previous CBA logic -->\n            \u003C!-- TODO: status logic -->\n\n            \n                \u003Cdiv id=\"display-cbaratified\">Ratified by: &rarr;&nbsp;Ministry\u003C\u002Fdiv>\n                \n                \u003Cdiv id=\"display-cbaactorratified\">\n                    Ratified on: &rarr;&nbsp;2013-01-01\n                \u003C\u002Fdiv>\n            \n\n            \u003C!-- TODO: transnational_label, includingcountries_label, national_framework_label -->\n\n            \u003Cdiv id=\"display-SECTOR1\">\n                Name industry: &rarr;&nbsp;Manufacturing\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-NACE2004\">\n                Name industry: &rarr;&nbsp;Manufacture of beverages\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-FIRMPRI\">\n                Public\u002Fprivate sector: &rarr;&nbsp;In the private sector\n            \u003C\u002Fdiv>\n            \n            \u003Cdiv>Concluded by:\u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-CBA_MNCOMPA_1\">\n\n                \n                    \n                    \u003Cdiv>\n                        Name company: &rarr;&nbsp;\n                        Nyanza Bottling Co.Ltd\n                    \u003C\u002Fdiv>\n                \n                \u003Cdiv id=\"display-CBA_MNCOMPA_1_txt\">\u003C\u002Fdiv>\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-CBA_MEMTRAD4_1\">\n                Names trade unions: &rarr;&nbsp;\n\n                \n                    \n                    \u003Cspan>\n                        Chama Chawafanyakazi Wa Viwanda, Biashara, Taasisi Za Fedha, Huduma Na Ushauri (TUICO)\n                    \u003C\u002Fspan>\n                \n\n                \u003Cdiv id=\"display-CBA_MEMTRAD4_1_txt\">\u003C\u002Fdiv>\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n        \u003C\u002Fdiv>\n\n        \n\n        \n\n        \u003Cdiv class=\"section sickness-disability\">\n            \u003Ch3 id=\"display-SICDIS_trigger\">SICKNESS AND DISABILITY\u003C\u002Fh3>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-maxsicknesspayperc\">\n                Maximum for sickness pay (for 6 months): &rarr;&nbsp;Not specified&nbsp;%\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n            \n            \n            \u003Cdiv id=\"display-longtermillness\">Provisions regarding return to work after long-term illness, e.g. cancer treatment: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \n            \u003Cdiv id=\"display-menstruationleave\">Paid menstruation leave: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-disabilitypay\">Pay in case of disability due to work accident: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n\n        \u003C\u002Fdiv>\n\n\n        \u003Cdiv class=\"section health-medical-assistence\">\n            \u003Ch3 id=\"display-SICDIS_trigger\">HEALTH AND SAFETY AND MEDICAL ASSISTANCE\u003C\u002Fh3>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthcareaccess\">Medical assistance agreed: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthcareaccessrelatives\">Medical assistance for relatives agreed: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthinsurance\">Contribution to health insurance agreed: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthinsurancerelatives\">Health insurance for relatives agreed: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthandsafetypolicy\">Health and safety policy agreed: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-healthandsafetytraining\">Health and safety training agreed: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-protectiveclothing\">Protective clothing provided: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-hivpolicy\">Regular or yearly medical checkup or visits provided by the employer: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-monitoring\">Monitoring of musculoskeletal solicitation of workstations, professional risks and\u002For relationship between work and health: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-funeralpay\">Funeral assistance: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n        \n            \n        \u003C\u002Fdiv>\n\n        \n        \n        \n         \n\n        \u003Cdiv class=\"section employment-contracts\">\n            \u003Ch3 id=\"display-EMPCONTR_trigger\">EMPLOYMENT CONTRACTS\u003C\u002Fh3>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-contracttrialperiod\">\n                Trial period duration: &rarr;&nbsp;90 days\n            \u003C\u002Fdiv>\n            \n            \n\n            \n            \u003Cdiv id=\"display-part_time_excluded\">Part-time workers excluded from any provision: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-tempagency\">Provisions about temporary workers: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-apprentices_excluded\">Apprentices excluded from any provision: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n            \u003Cdiv id=\"display-minijobs_excluded\">Minijobs\u002Fstudent jobs excluded from any provision: &rarr;&nbsp;\u003C\u002Fdiv>\n        \u003C\u002Fdiv>\n        \n\n        \u003Cdiv class=\"section working-hours\">\n            \u003Ch3 id=\"display-WORKHOURS_trigger\">WORKING HOURS, SCHEDULES AND HOLIDAYS\u003C\u002Fh3>\n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-dayspweek\">\n                Working days per week: &rarr;&nbsp;6.0\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-holidaysdays\">\n                Paid annual leave: &rarr;&nbsp;28.0 days\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-holidaysweeks\">\n                Paid annual leave: &rarr;&nbsp;4.0 weeks\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-schedulesrestpw\"> Rest period of at least one day per week agreed: &rarr;&nbsp;Yes\u003C\u002Fdiv>\n\n            \n            \n             \n            \n            \n            \n            \n            \n            \u003Cdiv id=\"display-FLEXWORK_trigger\"> Provisions on flexible work arrangements: &rarr;&nbsp;\n            \u003C\u002Fdiv>\n            \n        \u003C\u002Fdiv>\n\n        \u003Cdiv class=\"section wages\">\n            \u003Ch3 id=\"display-WAGES_trigger\">WAGES\u003C\u002Fh3>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-PAYSCALES_trigger\">\n                Wages determined by means of pay scales: &rarr;&nbsp;No\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n\n            \n            \n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv id=\"display-COSTLIV_trigger\">Adjustment for rising costs of living: &rarr;&nbsp;0\u003C\u002Fdiv>\n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \u003Cdiv>\n                \u003Ch4 id=\"display-ANNLEAVE_trigger\">Extra payment for annual leave\u003C\u002Fh4>\n                \n                \u003Cdiv id=\"display-annleaveallowanceamount1\">\n                    Extra payment for annual leave: &rarr;&nbsp;TZS&nbsp;30000.0\n                \u003C\u002Fdiv>\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \n\n            \u003Ch4>Meal vouchers\u003C\u002Fh4>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-mealvouchers\">\n                Meal vouchers provided: &rarr;&nbsp;Yes\n            \u003C\u002Fdiv>\n\n            \u003Cdiv id=\"display-MEALALL_trigger\">Meal allowances provided: &rarr;&nbsp;No\u003C\u002Fdiv>\n            \n            \u003Cdiv id=\"display-legalassistance_trigger\">\n                Free legal assistance: &rarr;&nbsp;\n            \u003C\u002Fdiv>\n        \u003C\u002Fdiv>\n\n    \u003C\u002Fdiv>\n\n\u003C\u002Fhtml>\n",[],[],"collective_agreement",[103],{"title":37,"slug":33},[105],{"type":106,"data":107},"call_to_action_body_block",{"title":108,"description":109,"variant":110,"link":111},"Compare Collective Agreements","Compare the articles of the Collective Agreements from Tanzania across sectors, topics and countries","dark",{"title":108,"url":112,"description":108,"rel":113,"type":114},"\u002Fen-tz\u002Fwork-in-tanzania\u002Fcollective-bargaining-agreement\u002Fcompare-collective-agreements","follow","internal",[116],{"type":106,"data":117},{"title":108,"description":109,"variant":110,"link":118},{"title":108,"url":112,"description":108,"rel":113,"type":114},[]]